UJUMBE KUTOKA KWA PENNY BAADA YA HABARI KUSAMBAA KUWA AMEZIMIA NA KUPELEKWA HOSPITALINI
Girl
Friend wa msanii wa bongo fleva 'Diamond' leo jioni amenitumia text
kunifahamisha kuwa ' Alikuwa Kazini Siku Nzima Na Kuwa Hajapata Tatizo
Lolote Leo Kuhusu Afya Yake. Taarifa Zilizo Sambaa Kuwa Alizimia Na
Kupelekwa Hospitalini Sio Za Kweli Kabisa.
No comments:
Post a Comment