UWOYA ANUNUA GARI JIPYAAAAAAAAAAAAAAA, NI RANGE ROVER SPORT. ICHEKI HAPA
STAA wa tasnia ya filamu hapa Bongo, Irene Uwoya ameuanika mkoko wake mpya Range Rover.Kupitia mtandao wa instagram Uwoya alipost picha za gari hilo huku akiandika… I don't care… Watasubiri sanaaaa…. My bby.Huku watu wakicoment kwa kumpongeza kuwa huwa anaongea kwa vitendo na siyo…
No comments:
Post a Comment