Abas
Kinzasa kwa jina la usanii anaitwa 20 Percent akiwa kwenye majonzi
baada ya kufiwa na Baba yake mzazi Mzee Kinzasa aliyefariki juzi siku ya
Jumapili na kuzikwa siku ya Jumatatu kwenye kijiji cha Kimanzichana
kilichopo Wilaya ya Mkuranga Mkoani Pwani.

Hapa ndipo alikozikwa Mzee Kinzasa baba mzazi wa 20 Percent aliyefariki siku ya jumapili na kuzikwa siku ya jumatatu kwenye kijiji cha Kimanzichana kilichopo Wilaya ya Mkuranga



Abas
Kinzasa kwa jina usanii anaitwa 20 percent akieleza jambo kandokando ya
kaburi la Baba yake mzazi Mzee Kinzasa aliyefariki siku ya jumapili na
kuzikwa siku ya jumatatu kwenye kijiji cha Kimanzichana kilichopo
Wilaya ya Mkuranga.


Marehemu mzee Kinzasa akiombewa dua baada ya kumpumzisha kwenye nyumba yake ya milele







Mtunza pesa akieleza kiasi cha pesa zilizopatikana baada ya ndugu, jamaa na marafiki waliofika msibani hapo kutoa rambirambi zao

Hii ndio nyumba aliyoicha marehemu Mzee Kinzasa iliyoko kwenye kijiji cha Kimanzichana

Baadhi ya wananchi waliofika msibani

Wazee wakiesabu kiasi cha pesa kilichopatikana kwa watu waliotoa rambirambi zao kwenye msiba wa marehemu Mzee Kinzasa

Mzee akieleza
jambo kwenye msiba wa baba yake na 20 Percent aliyefariki siku ya
Jumapili na kuzikwa nyumbani kwake kwenye kijiji cha Kimanzichana

Mwenyekiti wa mtaa wa Kimanzichana akimkabidhi mtunza pesa, pesa alizopewa na wananchi kwa ajili ya rambirambi

Baadhi ya
wananchi waliofika kwenye msiba wa baba yake na 20 Percent
kwenye kijiji cha Kimanzichana kilichoko wilaya ya Mkulanga mkoani Pwani
hapo jana mchana

Mtunza pesa akieleza kiasi cha pesa zilizopatikana baada ya ndugu, jamaa na marafiki waliofika msibani hapo kutoa rambirambi zao
PICHA NA PAMOJA/PAMOJAPURE BLOG

No comments:
Post a Comment