Wema Isaac Sepetu ‘Madam’
WEMA Isaac Sepetu ‘Madam’ amefunguka kuwa kamwe hatasahau jina la
Miss World ambalo marehemu baba yake, mzee Isaac Abraham Sepetu alikuwa
akimuita.
Akizungumza na mwanahabari wetu wakati wa kuaga mwili wa baba yake
nyumbani kwao, Sinza-Mori jijini Dar, Jumanne iliyopita, Wema alisema
baba yake alikuwa akimuita jina hilo kama utani kutokana na masuala ya
urembo aliyokuwa akiyafanya hivyo alipofariki dunia jina hilo ndiyo
kumbukumbu yake ya muhimu. |
No comments:
Post a Comment