03 October 2013
PICHA: TRENI YA MWAKYEMBE ILIVYOGONGWA NA LORI LA MIZIGO ENEO LA BUGURUNI BAKHERESA.
Lori lililogonga treni ya Mwakyembe lililokuwa likitoka Stesheni kuelekea ubungo kwenye majira ya Saa kumi na Mbili Jioni ya leo Likiwa limepinduka mara baada ya kuligonga treni hilo eneo la Buguruni Bakheresa
Wakazi wa jiji la Dar na Wapita njia wakishangaa lori lililogonga treni ya Mwakyembe iliyokuwa ikitoka Stesheni kuelekea Ubungo majira ya Saa Kumi jioni ya leo(jana)
Kichwa cha Lori lililogonga treni kikiwa kimepinduka mara baada ya kuligonga treni hilo majira ya saa kumi na mbili wakati treni hiyo ikiwa inatoka Stesheni kuelekea Ubungo
Sehemu ya tera la lori hilo lililogonga Treni leo(jana) likiwa limepinduka huku wakazi wakichukua taswira la lori hilo
Wakazi wa jiji la dar wakishuhudia ajali hiyo ya lori lililogonga treni ya Mwakyembe Eneo la Buguruni Bakheresa
Kichwa cha treni (chenye rangi ya bluu) kikiwa kimesimama mara baada ya kugongwa na lori maeneo ya Buguruni Bakheresa Jioni ya saa kumi na mbili ya leo
Kichwa cha treni kikiwa kimesimama mara baada ya kugongwa na lori na kupelekea lori hilo kupinduka maeneo ya Buguruni bakheresa wakati treni hiyo ikiwa inatoka Stesheni kuelekea ubungo kwenye majira ya Saa Kumi na Mbili jioni ya Leo
Majira ya Saa 12 Jioni Treni ya Mwakyembe iliyokuwa ikitoka Stesheni Kuelekea Ubungo limepata dhoruba ya kugongwa na lori la mizigo kwenye eneo la Buguruni bakheresa Mita chache kabla ya kusimama kwaajili ya kushusha abiria wanaoshuka eneo hilo la Buguruni
Mpaka tunaondoka eneo la tukio hakuna taarifa ya waliopoteza maisha wala kujeruhiwa
CREDIT : LUKAZA BLOG
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment