MWANAMITINDO mwenye vipaji lukuki, Jokate Mwegelo amefunguka kuwa hali yake kiafya siyo nzuri, anasumbuliwa na ugonjwa wa pumu.
Akipiga stori na Amani nyumbani kwao maeneo ya Kinondoni
“Naumwa jamani, pumu inanisumbua inanitesa sana. Inaponitokea huwa nashindwa kufanya kabisa kazi zangu za kila siku na vitu vyote huwa vinalala hadi nitakapopata nafuu,” alisema Jokate kwa tabu
No comments:
Post a Comment