08 October 2013

PICHA 5 ZA MDOGO WA DAMU WA DIAMOND PLATNUMZ PAMOJA NA WIMBO ALIOIMBA WA KUMPONDA DIAMOND....! CHEKI HAPA




LEO nimebahatika kukutana na huyu dogo aloimba wimbo ambao mpaka sasa ndo inaongoza kwa kusikilizwa na watu mtandaoni.Imesikilizwa na watu zaidi ya elf 51.Amefunika ngoma zote kali hapa Bongo.Wimbo huo amemchana kaka yake Diamond.Kaelezea maisha yake kabla hajatoka kimuziki.



Swali moja tu la msingi nlotaka kujua kutoka kwake ni Uhusiano wake na
Diamond na amekiri kuwa Diamond ni kaka yake wa Damu,Baba moja Mama Tofauti na kadai Diamond kabla hajatoka kimuziki alikuwa anawajali ndugu zake ila kwa sasa hata baba yake mzazi hana muda naye.

Hivyo kadai yote aloimba kwenye huo wimbo ni ukweli mtupu.Ameomba watu kumkumbusha Diamond kukumbuka nyuma,Usuperstar ni maji ya Moto.Tazama PICHA ZAKE KATIKA POZ MBALIMBALI NA Chini kabisa ni wimbo huo ambao ishakuwa gumzo kwa kweli.









KAMA HUNA MBAVU USIDIRIKI KUSIKILIZA WIMBO HUU TAFADHALI,DOGO HUYU NOOOOMA.NI BONGE LA NGOMA.

SHUKA CHINI KUTOA MAONI YAKO

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname