03 October 2013

NATAFUTA MWANAMKE WA KUOA... NAOMBENI USHAURI JAMANI ILI NIPATE CHAGUO SAHIHI...!!



MIMI NI MWANAUME MWENYE UMRI WA MIAKA 28,SASA NAJIONA MTU MZIMA KIASI KWAMBA NAWEZA KUMILIKI FAMILIA YANGU MIMI MWENYEWE.
NIMEPANGA HARAKATI ZA KUMTAFUTA WANGU WA NGUVU TUTAKAYEOANA NA YEYE ILA NILIAMUA KUWAONA MARAFIKI ZANGU HAPA MTAANI WANISHAURI SIFA MZURI ZA MWANAMKE WA NDOA.
KWA KWELI MWAMBURI HATA NAJUTA KUWAULIZA MANAKE WAMENISHAURI ETI KUWA KWA VILE MIMI NI KIJANA NITAFUTE MWAMAKE MWENYE MAKALIO MAKUBWA YA KUPENDEZA,MATITI MAKUBWA NA MAZURI YA KUTAMANIKA,MWENYE UMBO LA AMBAYE HATA NIKITEMBEA NAYE HADHARANI WATU HAWATANICHEKELEA.
SASA NIMESHINDWA NJIA MWAFAKA YA KUFUATA MANAKE MOYO WANGU HUWAPENDA WANAWAKE SIMPLE TU,WASIOJIPODOA SANA,WANAOVAA MAVAZI YA HESHIMA AMBAO WAZAZI WANGU WAKIOMWONA WATAMKUBALI.
SASA NIFANYEJE,NITAFUTA WAKIDOT COM ETI NDIO NIONEKANE DIGITAL AMA? NA KWANI NI QUALITIES GANI MWANAMKE ANAFAA KUWA NAZO ILI KUHITIMU KUOLEWA AMA AWE WIFE MATERIAL? NA KWANI MATITI MAKUBWA YA AINA MBALI MBALI NA MAKALIO BAB KUBWA YANACHANGIA NINI KWA NDOA…???

NISHAURINI JAMANI NIKO KWA SHIDA

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname