Ommy Dimpoz akiwa Nyumbani kwa Mr and Mrs Matope (Familia ya Miss Temeke) akipata Dinner
Nyumbani kwa Miss Temeke ambapo Dimpoz aliharikwa akiwa pamoja na Promoter wake na Wageni wengine waalikwa.Dinner hiyo ilihudhuriwa na watu wa karibu wa Miss Temeke ambao walifurahia dinner pia kupata fulsa ya kuchat one on one na Superstar huyo.
Ommy Dimpoz akiwa na Mr Matope mume wa Miss Temeke wakipata Dinner
Familia ya Mr Matope katika picha ya pamoja na Dimpoz
Miss Temeke na Mume wake Mr Matope katika Poz na Poz Kwa Poz
Dimpoz akiwa na watoto wa Matope, pamoja na Promoter "DMK" zee Seif na Model maarufu Betty
Kutoka Kushoto Matope,DMK,Seif na Mke wake
Miss Temeke,Curtias na Mke wake wakiwa na Dimpoz.
Bwana Abdul akiwa katika picha na Dimpoz na Model
Dj Moo nae alikuwepo katika Dinner hiyo
Kampuni ya DMK GLOBAL PROMOTIONS inatoa shukrani kwa familia ya Matope kwa mwaliko huo.
PICHA NA SWAHILITV.BLOGSPOT.COM
No comments:
Post a Comment