08 October 2013

KEKI YA BIRTHDAY YA NANDO YAWA GUMZO BAADA YA KUWA NA PICHA YA BANGI

 
Katika hali ya kushangaza keki ya Nando iliwekwa picha ya bangi ambapo mashabiki wake walijiuliza kama kweli jamaa ni mtumiaji wa hiko kitu?

Mshiriki wa BBA'The Chase'2013 kutoka Bongo Ammy Nando amesheherekea siku yake ya kuzaliwa na washiriki wenzake wa shindano hilo kutoka nchi mbalimbali ambao ni Beverly wa Nigeria,swahiba wake Bimp wa Ethiopia na Angelo wa Sauzi.

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname