11 October 2013

HUZUNII.KWELI HUJAFA HUJAUMBIKA Kila mwenye pumzi akumbuke kuna Mungu..HEBU TAZAMA HUYU MTOTO

Kila mwenye pumzi akumbuke kuna Mungu unatakiwa kuomba bila kukoma..... Hii picha inamwonyesha Gao Qianbo mwenye
umri wa miaka 3 akimlisha mama yake kwa mdomo anatafuna chakula na kumlisha. Mama yake hana uwezo kabisa mwili wake ku paralyse katika ajali ya gari.....
Tumwombe Mungu kila iitwapo leo

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname