02 October 2013

HIVI NDIVYO JINSI VURUGU ZILIVYO KUWA MBEYA LEO HII...MABOMU.MAWE.MATAIRI KUCHOMWA MOTO YANI NI BALAA TUPU




Polisi wakiwa katika ulinzi mkali




Maduka yakiwa yamefungwa






Wafanya biashara wakiwa uwanjani kungoja kusikiliza nini hatma yao


Baadhi ya watu wakiwa wanakimbia Baada ya Mabomu ya machozi kuanza kurushwa kuepusha vurugu



Mawe yakiwa yamepangwa kuzuia magari yasiende kokote




Maduka yote yakiwa yamefungwa eneo la mwanjelwa kupinga ununuzi wa mashine hizo za TRA

Vijana hawa wakiwa wana nawa uso baada ya Bomu la machozi kuwapitia



Jiwe kubwa likiwa limewekwa katika Barabara magari yasipite





Hali tete Tayari vijana wameanza kuchoma mataili.....
na ETCO THE BEST

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname