07 October 2013

HATIMAYE MSANII LINAH AVISHWA PETE YA UCHUMBA..!! ANGALIA PICHA HAPA..!!


clip_image002MSANII wa Muziki wa Kizazi Kipya kutoka nyumba ya kukuzia vipaji Tanzania,Estelina Sanga 'Linah', juzikati aliamua kuvunja ukimya mbele ya kadamnasi baada ya kuziweka wazi pete za uchumba alizodai kuvishwa na mtu mwenye mtonyo wake mnene hapa Bongo, wakati akipigwa picha hizi Linah alidai kuwa hana jinsi ya kuendelea kujificha tena kwani umri wake umeshafikia hatua ya kuolewa.
TOA MAONI YAKO HAPA CHINI

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname