Mtu mmoja jijini Mwanza anadaiwa kukamatwa na kiganja cha mtu akiwa anajiandaa kumuuzia mteja kwa sh million 100.
Washukiwa walikamatwa karibia na uwanja wa ndege wa Mwanza,
wakawapekulia wakakutwa mteja ana 100 million na mganga ana kiganja
ambacho bado kibichi kinatoa damu, kina tunguri pia na nywele za
binadamu
Washukiwa walikamatwa karibia na uwanja wa ndege wa Mwanza,
No comments:
Post a Comment