Jukwaa la kisasa kwa ajili ya Fiesta
Serengeti Fiesta 2013 likiwa kwenye matengenezo ikiwa leo ni siku ya 9
likiwa kwenye matengezo ni jukwaa la kisasa lenye mashine za kisasa
ambazo zitakuwa zikifanya kazi mbalimbali. Katika viwanja vya leaders
club kutakuwa na screen kubwa ambazo zitakuwa zikionyesha matukio
mbalimbali yanayoendelea, Serengeti Fiesta 2013 ni JUmamosi 26 Oktoba
2013 huku zaidi ya
wasanii 300 wakitarajwa kutoa burudani hawa wakiwa ni
wasanii wakali kutoka Tanzania na wasanii wa kimataifa ni wanne ambao
ni mkali Mohombi, Iyanya,Davido na Alaine - Serengeti Fiesta 2013 Noma
Saana Twenzetu!!
No comments:
Post a Comment