AMA KWELI HUJAFA HUJAUMBIKA...HUYU MTOTO ANAOMBA MSAADA WA KUTIBIWA HONOLINA MKAZI WA MGETA
Mtoto Honolina Christian miaka 11 mkazi wa mgeta Mkoani Morogoro anaomba
msaada kwa wasamaria wamsaidie kupata fedha za matibabu ya maradhi yake
yanayomsumbua tangu alipozaliwa mama mzazi wa mtoto huyo Grace John
kutoka mgeta anasema mwanae anateseka kwa muda mrefu hivyo anaomba
asaidiwe ili apate kutibiwa
No comments:
Post a Comment