24 October 2013

BREAKING NEWZZZ....Mkuu wa Kituo cha Polisi Wilayani Kilindi Mkoani Tanga amejeruhiwa vibaya na RISASI katika mapambano na watu waliokuwa wakifanya mazoezi ya kijeshi katika vijiji vya Lolago na Mwambe.

 Mkuu wa Kituo cha Polisi Wilayani Kilindi Mkoani Tanga Inspekta Nsekelo amejeruhiwa vibaya kwa kupigwa risasi katika mapambano na watu waliokuwa wakifanya mazoezi ya kijeshi katika vijiji vya Lolago na Mwambe.

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname