04 October 2013

ANGALIA PICHA ZA MSANII DIAMOND ENZI ZAKE ZA UTOTO

IMG_0042


Diamond Platinumz ametoa picha nyingine ambayo inawaonyesha yeye na ndugu yake Romie Jones wakiwa wadogo. ambapo leo icheki hii picha tena kwenye enzi zao za utotoni wakiwa na baiskeliya kitoto ambayo ni moja ya vitu vikubwa sana kwa mtoto kuwa nayo kwa kipindi hicho, kwa wale mliokuwa nazo kama hizi BMX najua tunaelewana… ilikua nomaa

diamnd 
Diamond ni huyu wa katikati, Rommy Jones ni huyu wa mbele

rommy &diamond
Hii ni picha ambayo pia waliwahi kuiweka 

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname