25 September 2013

WAACHA SHULE NA KWENDA KUJIUZZA HUKO BUGURUNI......WANANCHI WA ENEO HILO WAAMUA KUANDAMANA..

Tatizo la ukahaba linaonekana kukua nchini, likiwemo Jiji la Dar es Salaam, kwa watu kufanya vitendo hivyo kwa staili tofauti. 

Huku baadhi ya watu wakidaiwa kufanya ukahaba ofisini kwa kuvaa mavazi yasiyo na staha, kwa lengo la kuwawinda wanaume, baadhi yao wanajiuza waziwazi mitaani hasa nyakati za usiku, achilia mbali wale wanaojiuza mchana kwa kusimamisha watu na kujifanya wanaomba msaada au lifti za magari kisha anaomba namba ya simu.ISOME MATUKIO NA MICHAPO ZAIDI

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname