Staa wa sinema za Kibongo, Nurdin Mohammed ‘Chekibudi’.
STAA wa sinema za Kibongo,
Nurdin Mohammed ‘Chekibudi’ amejikuta ameingia kwenye bifu kali na
mwigizaji Helen Luanda ‘Zerishi’ baada ya mwanadada huyo kumtuhumu kuwa
amemdhulumu kazi yake ya filamu.Akipiga
stori na paparazi wetu, Zerishi alisema aliamua kumshirikisha Chekibudi
kwenye kazi yake na kukubaliana naye ampelekee filamu yake sokoni na
kumlipa shilingi milioni nne baada ya filamu hiyo kuuzwa lakini kaingia
mitini. Alipotafutwa Chekibudi kuhusiana na madai hayo alikana kumdhulumu na kusema vitu vyote anavyo Zerishi isipokuwa demo anayo yeye.

No comments:
Post a Comment