MWIGIZAJI wa sinema za Kibongo, Tamrina Posh ‘Amanda’ amejikuta katika
wakati mgumu wa kuzomewa kutokana na kukatiza kitaa akiwa na nguo
iliyombana na kuonesha makalio yake yaliyojazia.
Kwa mujibu wa mtoa taarifa, tukio hilo lilichukua nafasi Ijumaa
iliyopita maeneo ya Mwenge, jijini Dar ambapo msanii huyo alikuwa
ameenda kwa ajili ya kununua mahitaji mbalimbali ndipo kundi la wanaume
wakware lilipoanza kumzomea.
Tukio hilo lilimfanya Amanda apoteze amani ghafla na kuamua kutimka zake
eneo hilo huku akiwashangaa. Paparazi wetu hakuwa nyuma, alimpigia simu
na kumuuliza kulikoni?
“Daah!
Ilikuwa kero kweli, wanaume wazima wanaacha kazi zao na kuanza kunizomea
huku wakiniambia kuwa ni dawa za Kichina. Lakini ukweli ni kuwa hii ni
asili yangu na si Mchina,” alisema Amanda.
No comments:
Post a Comment