BONGOLICIOUS IN BONGO ITAKUWA TAREHE SEPT 6TH-8TH (3DAYS...
BONGOLICIOUS IN ARUSHA ITAKUWA SEPT 9TH & 10TH....
BONGOLICIOUS IN BONGO ITAKUWA PALE PALE UPANGA, KARIBU NA SHULE YA TAMBAZA...
NA ARUSHA PIA TUTAKUWA PALE PALE TULIKPOKUWA LAST TIME
SIJAWEKA BEI YA KILA NGUO SABABU WATEJA HAWATAKI KILA MTU AJUE
NGUO YAKE ILIKUWA HOW MUCH, AS YOU KNOW WENGINE WADAKU TU WALA SIO WATEJA
ANATAKA TU AMWONE MTU KAVAA ASEME ILE NGUO KANUNUA DOLA 25 TU....LOL...WABONGO HAWANA DOGO
ANYWAYS, 90% YA NGUO ZANGU BEI NI KUANZIA DOLA 25-60.
VERY VERY VERY VERY AFFORDABLE..... ILA KUWEKA BEI KILA NGUO WATU HAWATAKIIIIII......
WENGINE WANAPEWA PESA NA WAUME ZAO JAMANI SASA BEI ZIKIJULIKANA WATAPEWA HELA TASLIMU HATA SENTI KUMI HATOONGEZA
BORA MTU AMPE MUME BEI ANAYOTAKA YEYE.....LOL...
YES NITAPOKEA PIA TSH. NITAWEKA EXCHANGE RATE HUMU, ILA RATE YANGU
HAITOKUWA NZURI SANA SABABU MIE NAFIKIRIA RATE YA KUNUNUA DOLA....
SO NI HERI UJE NA DOLLARS KULIKO TSH IT WILL SAVE YOU VIJISENTI .......
Source: Mange Kimambi Blog
No comments:
Post a Comment