Watoto wa mitaani 'Chokoraa' wakipelekwa kwenye gereza la watoto lililopo Kisutu jijini Dar es Salaam.
WATOTO wa mitaani ‘Chokoraa’ leo wamepandishwa kizimbani kwenye Mahakama
ya Sokoine Drive jijini Dar na kufunguliwa mashitaka ya uzururaji.
Watoto hao walinaswa kwenye msako uliofanyika kwenye kituo kikuu cha
mabasi yaendayo mikoani ‘Ubungo Bus Terminal’.
No comments:
Post a Comment