HUYU NDIYE MWANAMKE ALIYEWEKA RECORD YA DUNIA ya KUWA NA MIGUU MIREFU KULIKO WOTE DUNIANI
Ama
kweli ukishangaa ya Musa utaona ya Firauni" Katika hali isiyokuwa ya
kwaida huyu ndiye mwanamke aliyefanikiwa kuingiza katika kitabu cha
kumbukumbu ya Dunia WORLD RECORD GUINESS BOOK. La kushanzaza zaidi
walimkutanisha na mtu mfupi zaidi Duniani.
No comments:
Post a Comment