Baada ya kuwa katika mapenzi na mwanaume huyo kwa zaidi ya miaka 17, wakipendana na kuitana majina yote mazuri unayoyajua yakiwamo kuambiwa ‘mpenzi wangu nakupenda, nikinywa maji nakuona kwenye glasi’…leo mapenzi yamegeuka shubiri.Kuna mikasa mbalimbali huwatokea watu katika suala zima la mapenzi, kiasi cha kusababisha baadhi yao kutopenda tena kuingia kwenye jambo hilo wakiliona kama ni kitu kisichofaa, ingawa ukweli unaweza kuwa sio huo.“Sitaki tena wanaume, ni watu wabaya, wameniumiza moyo wangu mno,” anasema Hawa Francis, mkazi wa Ubungo, Dar es Salaam. Sababu kubwa ni kero ambazo amewahi kuzipata katika suala zima la uhusiano. Vivyo hivyo wapo wanaume hawataki kuoa, kwa maelezo kuwa kuna wanawake wamewahi kuwatesa.SOMA ZAIDI10 September 2013
ANGALIA PICHA YA MKE. AKATWA MKONO NA MPENZIWE.
Baada ya kuwa katika mapenzi na mwanaume huyo kwa zaidi ya miaka 17, wakipendana na kuitana majina yote mazuri unayoyajua yakiwamo kuambiwa ‘mpenzi wangu nakupenda, nikinywa maji nakuona kwenye glasi’…leo mapenzi yamegeuka shubiri.Kuna mikasa mbalimbali huwatokea watu katika suala zima la mapenzi, kiasi cha kusababisha baadhi yao kutopenda tena kuingia kwenye jambo hilo wakiliona kama ni kitu kisichofaa, ingawa ukweli unaweza kuwa sio huo.“Sitaki tena wanaume, ni watu wabaya, wameniumiza moyo wangu mno,” anasema Hawa Francis, mkazi wa Ubungo, Dar es Salaam. Sababu kubwa ni kero ambazo amewahi kuzipata katika suala zima la uhusiano. Vivyo hivyo wapo wanaume hawataki kuoa, kwa maelezo kuwa kuna wanawake wamewahi kuwatesa.SOMA ZAIDI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment