AIBUUU...... NANDO AKAMATWA BAADA YA KUIBA CAMERA MOJA YA BIG BROTHER
Nando ameendelea kuitia aibu
Tanzania baada ya kukumbwa na kashfa mpya ya wizi wa kamera
ndani ya jumba la big brother.
Wizi huo unadaiwa kutendeka baada
ya Nando kualikwa kushiriki fainali za Big brother ambapo
Dillish aliibuka mshindi wa shindano hilo.....
Baada ya wizi huo, kamera za jumba hilo zilimuumbua.Nando alikamatwa na kuamriwa airejeshe camera hiyo.
Source:Big Brother
No comments:
Post a Comment