04 July 2013

Vazi la Meagan Good ktk BET Awards lamletea shida, wakristo wamjia juu (ni mke wa mchungaji)

Meagan-Good-bet-dress-awards 
la-et-st-meagan-goods-dress-stirs-up-holy-cont-001
 Kivazi alichokuwa amekivaa muigizaji wa filamu nchini Marekani, Meagan Good kwenye BET Awards 2013 kimeleta shida kubwa. Si Marekani tu walioshangazwa na nguo hiyo
, bali hata hapa Tanzania jana usiku ambapo show hiyo ilioneshwa kwa mara ya kwanza ‘kimataifa’ (international broadcast) iliwaacha mdomo wazi
  source bongo5

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname