20 July 2013

BREAKING NEWZZZ... Mfanyabiashara Said Mohammed Saad wa Home Shopping Center Amwagiwa TINDIKALI USIKU HUU

 Katika picha, ni eneo lilipotokea tukio la kumwagiwa Tindikali

Taarifa za awali zinadai kamwagiwa Tindikali maeneo ya Msasani City Mall muda wa saa 2.

Ni jirani na Ubalozi wa Marekani na jirani kabisa na Police Oysterbay.

Jamaa aliyefanya kitendo hicho alitoka mbio, mlinzi akamkimbiza

lakini bahati mbaya akateleza na kuanguka na jamaa akawahi pikipiki na kutoweka eneo la tukio.

Said amelazwa Trauma (AMI) Hosp - Masak

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname