03 July 2013

BREAKING NEWS...rais wa misri aondolewa madarakani na jeshi

BREAKING NEWS: Jeshi la Misri limesitisha Katiba ya nchi hiyo, kumvua madaraka rais Mohammed Morsi na kutangaza kuwa Jaji Mkuu wa Mahakama ya Katiba atashika hatamu za uongozi wa nchi hiyo kwa sasa.

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname