Hapa
ndipo alipokuwa analelewa Langa kwa wazazi wake baba na mama na hizi
picha ni wasanii wakifanyiwa mahojiano na waandishi wa habari kutoka
Star TV na EATV. Picha ya juu ni Kalapina na picha za chini ni Kala
Jeremiah
Ni
Nyumban kwa Marehem Langa hapa Kalapna akmuongelea Mwana hiphop Mwenzie
Marehem Langa,Pina amesema ameumia sana kwani Langa alkuwa Mwanahiphop
aliekuwa akifata Misingi ya Hiphop.RIP Langa
No comments:
Post a Comment