Leyla Ghobadi huyu ni mwanamitindo
maarufu tu na kupitia jarida la Star toleo jipya amefunguka yote kuhusu
mahusiano yake na Rapper Kanye West. Model huyo ameweka wazi kupitia
jarida la Star wiki hii kuwa yeye na Kanye West wamefanya tendo la ndoa
wakati Kanye yupo kwenye mahusiano na Kim. Leyla amesema hajataka kusema
mapema kwani anajua Kim anaujauzito na sio kuti kuzuri yeye kuskia
taarifa kama hizi ila imebidi sababu ameulizwa. Leyla amesema walikutana
na Kanye kimwili baada ya kujuana kwa siku mbili tu. Model huyo amesema
mara ya pili wamekutana na Kanye West ilikuwa Mwezi wa Kumi mwaka jana
wakati Kim tayari anategemea mtoto. Mpaka sasa Jarida la Star na New
York Post Wame Ripoti hii taarifa na Kanye West hajasema lolote.
No comments:
Post a Comment