Hapa
ndipo panapoitwa #NyumbaniLounge sehemu ya Packing ambapo siku ya
Ijumaa ndio litadondoshwa lile party la miaka 13 ya mwanadada
@JideJaydee sasa hivi kinachoendelea ni upimaji wa kuja kulidondosha
lile li steji mwanawane hahahaa #hadiRAHA
PICHA KWA HISANI YA DJCHOKA
No comments:
Post a Comment