08 June 2013

JOKATE AFUNGUKA KUHUSU ISHU YA DIAMOND KUJUTIA KUACHANA NAE NA KUMRUDIA WEMA SEPETU


MtandaO umewasiliana na Jokate ili atoe kauli yake kuhusiana na alichosema Diamond. Kwa mujibu wa mtandao huo, Jokate amesema amefurahi kuona Diamond amefunguka na kusema ukweli.HIi karibuni, katika kipindi cha “Take One” cha Clouds TV na Zamaradi Mketema, msanii Diamond Platnumz aliongelea jinsi anavyojutia : http://audifacejackson.blogspot.com



kumuingiza mrembo Jokate Mwegelo kwenye mapenzi halafu, halafu akachanganya mambo na Wema Sepetu. kama uliikosa interview hiyo, click link ifuatayo kuiangalia video: VIDEO: Diamond – Najuta kumuingiza Jokate kwenye mapenzi, kisha nikamrudia Wema “Watu wengi hawajui the real issue, I’m glad kama ame-acknowledge I was innocent in that whole matter,” amenukuliwa Jokate na mtandao huo

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname