13 June 2013

JE ULISHAWAHI KUONA MWANAMKE WA KIZUNGU AMBAYE NI KONDA WA DALADALA? BASI MCHEKI HAPA

clip_image001Now days kwa baadhi ya miji mikubwa hapa kwetu tanzania imeanza kuzoeleka kumkuta mwanamke akiwa amesimama kwenye mlango wa daladala kama konda daladala..haishangazi.....
lakini kumkuta mwanamke wa kizungu, tena mzungu pure kuwa konda wa daladala bila shaka ni ngumu kuamini  kidogo sababu tunaamini watu weupe hususani kutoka mataifa ya
ulaya ni watu waliobarikiwa kuwa na uwezo kimaisha so inakuwaje kwa mwanamke wa kizungu kuwa konda wa daladala tena ndani ya Africa?
Picha hapo juu ni picha iliyopigwa maeneo ya kileleshwa nchini kenya ikionesha  mdada wa kizungu  akiwa ndani ya daladala aka matatuu na amevaa uniform wanazovaa makonda  yawezakuwa ni kweli ama ni just swagg tu maana wazungu hawawezekani kwa vituko ...

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname