12 June 2013

HUYU NDO Mama aliyelala kwenye paa la nyumba ili isiuzwe mbezi

Mama mmoja anayejulikana kwa jina la Azelina Mrema mkazi wa Mbezi tangi bovu jijini Dar es salaam analala na kushinda juu ya paa la nyumba yake kwa siku ya tano sasa akipinga kuondolewa kwa nguvu kwenye nyumba yake bila kufuata taratibu na madalali wa benki

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname