29 May 2013

ONYO...ONYO... TAFADHARI TUWE WAUNGWANA TUSIWEKE PICHA YA NGWEA IKIMWONYESHA AKIWA MOCHWALI MITANDAONI

TAFADHARI  TUWE WAUNGWANA  TUSIWEKE  PICHA YA NGWEA IKIMWONYESHA AKIWA  MOCHWALI MITANDAONI   ILI TUWEZE KULINDA UTU WAKE NA SI USTAARABU  KUWEKA  PICHA YA NAMNA HIYO MITANDAONI.MTANDAO HUU THE Choice HAUKO TAYARI KUWEKA PICHA YA NAMNA HIYO KATIKA MTANDAO HUU WA THE CHOICE.
R.I.P MANGWEA

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname