KIMENUKAAA......P FUNK AKATAZA NYIMBO ZA MANGWEAR ZISIPIGWE CLOUDS FM
PRODUZA MKONGWE P FUNK MAJANI AMESEMA NI MARUFUKU KWA CCLOUDS FM KUPIGA NYIMBO ZA MAREHEMU NGWEA ZOTE ZILIZOREKODIWA BONGO RECORD,AMESEMA BAADAE ATATOA OFFICIAL LETTER.
ipo haja ya serikali kuingilia kati kwani ledy jay d nae alisema haya kwa clouds media group na sasa p funk anasema kwa kuhalibikiwa kwa malehemu mangwea. Kwa akili timamu clouds wanahalibu wasanii wetu na kuwatumia kwa maslai yao. Tunaitaji kuchukua hatua watanzania. Na wasanii na njie kuweni na umoja acheni njaa hawa jamaa wanawatumia.

ReplyDelete