30 May 2013

HII ndo HATARII ILIYOPO KWA SASA KATIKA MUZIKI WA BONGO FLEVA NCHINI TANZANIA

Mziki wa tanzania umeanza kujivalisha sura ya zombi
Nahic unapoelekea itakuwa ni kunyonyana dam ,7bu kwenye nyumba ya mziki naiona chuki imeshabisha hodi na kuingia ndani ,huyu chuki namuona anajaribu kutembea ndani ya mifupa ya wasanii maproducer na baadhi ya watangazaji na wadau , chuki amefanikiwa kwa kiasi kikubwa sana kuugawanya mziki wa
tanzania, ss hv kuna makundi km matatu yaliyo kwenye mziki wa tanzania kuna makundi mawili yanapingana na hayapendani kabisa nahic bongo tungemiliki silaha km rwanda burundi kila siku haya makundi yangerushiana risasi (mungu atunusuru kufika huko) na kuna kundi moja huwa halina kauli halipo huku wala halipo huku kundi hili hulifananisha na yule mtu mpolee wa darasani wanafanya fujo wengine lkn na yy anawekwa kwenye mkumbo wa adhabu wakati makosa walifanya wengine, chuki cjajuwa alizaliwa mwaka gani na wala sijui ametokea mkoa gani wala nchi gani namshangaa anaishi dunia nzima

Ee mungu tulinde na huyu chuki aliekwisha jizamisha kwenye familia ya mziki


by- Hammer Q Hammer Q

No comments:

Post a Comment

Comments system

Disqus Shortname