Haya Chini ni Maneno ya Sinta
"Sincerely, mmenishangaza na comments zenu kuyaamini magazeti, mengine
yameandika hiki ama kile sasa nataka kukwambia si magazeti yote
yanaandika ukweli, jana usiku wawili hawa walikuwa tight na kukumbatiana
century cinemax
na lile baridi kama nawaona.
Mimi sisemi mengi mliniomba nifuatilie na haya ndiyo majibu,,,, Diamond na Irene si wapenzi
I do the seeking and you do the judging" Sintah

No comments:
Post a Comment