Kwa waliokuwa na hamu ya kumuona
huyu naye akiwa nusu uchi na kivazi cha kuogelea tuu, huu
sasa ni wakati wao.....
Coca Cola pop Star maarufu kwa jina
la Shaa amedai kuwa yupo tayari kuvua nguo zake hadharani na
kuyaanika maungo yake nyeti na kubakiza kichupi cha kuogelea tu
endapo video yake mpya ya Lava Lava itafikisha views 100,000
katika mtandao wa youtube
“Lava Lava Video
imefikisha views 44,000+ leo.Endapo itafikisha 100,000 basi ntavua
nguo zote na kuogelea coco beach mchana kweupe lets do,”Alitweet Shaa katika mtandao wa kijamii wa Twitta na kuongeza
“Niliitupia kiutani tu nikidhani in one day kupata views elfu50 ni
ngumu…sasa naona watu wameniamkia! Kwa spidi hii…mmmh…noma,”

No comments:
Post a Comment