Naitwa Nancy Naishi Kijitonyama , mimi ni Msichana na Miaka 20 nimekuwa
nikijitunza kwa muda mrefu ili kutunza Bikira yangu kwa mwanaume atakaye
nioa mungu akijalia ...so sijawahi fanya mapenzi na mtu yoyote japo
napata vishawishi vingi....Saa zingine nikisikia hamu huwa najisugua kwa
vidole sehemu zangu ili kutoa hamu....
Sasa hivi karibuni nimehisi huku chini hapako tight kama zamani hata
nikiingiza kidole kinaingia bila shida sasa naogopa je Bikira yangu
imeshatoka au ni kawaida? na je kujishika kwa vidole sehemu hizo
kunaondoa bikira?
Please naomba ushauri.
No comments:
Post a Comment