MWANAFUNZI WA CHUO CHA UHASIBU ARUSHA (IAA) ACHOMWA KISU USIKU HUU NA KUSADIKIKA KUPOTEZA MAISHA
MWANAFUNZI AJULIKANAYE KWA JINA LA HENRY KOVA AMECHOMWA KISU ALIPO KUWA AKIPITA MAENEO YA SDA ,KWA MUJIBU WA KAULI YA RAIS WA CHUO ALIPO ONGEA NA MTANDAO HUU INA SADIKIKA IMEPELEKEA KUPOTEZA MAISHA YAKE,TAARIFA ZAID ZITAWAJIA ENDELEA KUWA NASI
No comments:
Post a Comment