Mwanamuziki aliyeitikisa vilivyo
Kenya kabla ya kuokoka na kuachana na miziki wa kidunia, mwanadada Size 8 sasa
ameanza kufunguka katika interview kwenye vituo
mbali mbali vya redio na Tv kuhusiana na maisha mapya ya kidini.
mbali mbali vya redio na Tv kuhusiana na maisha mapya ya kidini.
Kati ya yote ambayo Size 8 amekuwa akiyaongelea, ni moja tu ambalo
amekuwa akilitilia mkazo kwa kumaanisha kuwa linamsikitisha zaidi ni suala lake
la kupoteza BIKRA, Size 8 amewaambia watu kuwa "Najutia sana kupoteza bikra yangu. Ninaamini
kuwa kijana anatakiwa kujilinda na kujizuia kufanya ngono katika ujana wake wote
mpaka atakapo pata kibali toka kwa Mungu."
No comments:
Post a Comment