HIVI NDIVYO AMBAVYO SHAA ANGEVUA NGUO HADHARANI NA KUBAKIZA KIVAZI CHA KUOGELEA
April 8,
Shaa alitweet, “Lava Lava Video imefikisha views 44,000+ leo ikifikisha
100,000 naenda kuogelea coco beach mchana kweupe lets do.
Hata hivyo
hits 100,000 hazikufika. Lakini mchoraji Maarufu, Dennis aka Kapwipwi
ameamua kutuonesha jinsi muonekano wa Shaa ungekuwa iwapo hits hizo
zingefika na kutimiza ahadi yake.
No comments:
Post a Comment