01 April 2013

HAWA NDO WANAWAKE WALIO KAMATWA WAKIIBA VITU SUPER MARKET

Hii Kali..Wanawake hawa wawili walikamatwa kwenye Super Market Moja nchini Kenya wakiwa wameficha Madumu ya Mafuta ya kupikia katikati ya Mapaja yao, inasemekana hii ndio
staili mpya ya kuiba vitu Super Market...Ila hawa ilikula kwao baada ya kuonekana kwenye CCTV wakiweka mafuta hayo kwenye mapaja...na baada walinzi kuwasimamisha kwa ukaguzi.

1 comment:

  1. huu ni udhalilishaji,ni kinyume na hak za binadamu kwani hamna vyombo vya dola

    ReplyDelete

Comments system

Disqus Shortname