10 April 2013

ANGALIA PICHA.....SHILOLE LIVE NA BWANA WA KIZUNGU


SIKU chache baada ya kuripotiwa akijiachia kimalavidavi na ‘lejendari’ wa Bongo Fleva, Aboubakar Katwila, staa wa muziki na filamu za Kibongo, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ amenaswa hotelini na bwana Mzungu aliyetajwa kwa jina moja la George, kamera za Risasi Mchanganyiko ni noma.
Shilole akiwa katika pozi na mzungu wake aitwaye George.
Kwa mujibu wa shushushu wetu, tukio hilo lilijiri hivi karibuni katika hoteli
moja maarufu jijini hapa ambapo Shilole alikuwa kwenye ziara ya shoo yake.
Ilidaiwa kuwa mara tu baada ya kumaliza ziara ya shoo, Shilole hakuondoka jijini hapa na badala yake alionekana sehemu tofauti akijivinjari na jamaa huyo ambaye uchunguzi wetu ulibaini kuwa ni bosi wa klabu moja maarufu ya usiku Kanda ya Ziwa.

...Wakiwa dukani.
Kabla ya kuondoka katika jiji hili la sangara na sato, Alhamisi iliyopita na ndege ya jioni, Shilole alinaswa kimalavidavi na Mtasha huyo Jumatano katika Ukumbi wa Mwalimu Nyerere wa Gold Crest kulipokuwa na maonesho ya Biashara ya Kimataifa ya Syria.
Shilole alishuhudiwa akifanyiwa ‘shopping’ ya kufuru na bwana huyo ambapo Tulinasa mpango mzima ambapo lilipotaka kujua kama ni wapenzi, Mtasha huyo alijibu kwa kifupi sana: “No comment” (sina la kusema).
...Shilole na mzungu wake wakijiachia.
Kwa upande wake Shilole alipobanwa mbavu alifunguka: “Nisingependa kuongelea jambo hilo kwani sasa najipanga kimuziki zaidi, shopping ni mambo ya kawaida sana kwa hiyo ni vyema tukaongelea muziki wangu kwani shoo yangu ya Pasaka ilijaa mashabiki wa kufa mtu so nakubalika sana Mwanza na siku moja nitaweka makazi hapa.”
...Wakikatiza mitaani

1 comment:

  1. Denim bean gucci replica ergonomic chairs. There're this hardwearing types that are fitted with a classic in addition to tasteful appears to be. It truly is 1 the easiest way to present some sort of tender in addition to relaxing relaxing. There're designed by hiring this denim materials. Nylon in addition to Bamboo bean carriers. There're just about the most acceptable switch on your louis vuitton replica. Ones kids certainly will really enjoy to help lay on that tender in addition to at ease pieces of furniture. They've also been made available with offering of colorings, patterns in addition to types. Best by safe practices in addition to safeguard mindset. Many people are available which has a fix which often puts a stop to the family by launching this zipper. The item puts a stop to the family by decreasing decrease within the soil. If you are relaxing with this pieces of furniture, gucci replica that you will be relaxing in the midst of this sofa. Should you remain in place inappropriate then you definately could possibly endure returning agony in addition to calf irritation. Relaxing interior center of the middle will probably make it easier to fully rest. In the event you'll get hold of a bean prada replica then you definately really should try to find it is the best quality polystyrene stuff. Polystyrene stuff is usually the top stuff seeing that it truly is absolutely definitely tender to supply ease. It is equally incredibly sturdy and will possibly be lunchmoney laundered in addition to dry. Desire polystyrene solely as they can be 100% recycled. It is patterns range since they usually are made from all the a number of stuff.

    ReplyDelete

Comments system

Disqus Shortname