Mtuhumiwa wa mauaji ya Padri Evarist Mushi wa
Kanisa Katoliki parokia ya minara miwili mjini Zanzibar, Omar Mussa Makame (35)
akiongozwa na Askari polisi kuingia katika Mahakama Kuu ya Zanzibar
kusikiliza kesi inayomkabili.
Mtuhumiwa wa Mauaji ya Padri
Evarist Mushi wa Kanisa Katoliki parokia ya minara miwili mjini Zanzibar, Omar
Mussa Makame (35) kulia akizungumza na mawakili wake Abdalla Juma kushoto na
Rajab Abdalla muda mfupi baada ya kutajwa kwa kesi yake Mahakamani hapo.
Mawakili wanaomtetea Mtuhumiwa wa mauaji ya
Padri , Evarist Mushi wa Kanisa Katoliki parokia ya minara miwili mjini
Zanzibar, Omar Mussa Makame (35) wakili Abdalla Juma (kulia) na Rajab Abdalla
wakiwa mezani pao kabla ya kutajwa kwa kesi ya mteja wao katika mahakama
Kuu Vuga mjini Zanzibar
Mtuhumiwa wa Mauaji ya Padri Evarist Mushi wa
Kanisa Katoliki parokia ya minara miwili mjini Zanzibar, Omar Mussa Makame (35)
akiwa katika Mahakama Kuu ya Zanzibar kabla ya kesi yake kutajwa mahakamani
hapo.
No comments:
Post a Comment