02 March 2013

FILAMU YA "WAVES OF SORROW" YA MSANII RAY YAZINDULIWA KWA KUSAIDIA WATOTO YATIMA NA VIZIWI

Nguli wa filamu bongo Vicent Kigosi “Ray”ameendeleza utamaduni wake wa kuzindua filamu kwa staili ya kutoa msaada na safari hii amezindua filamu ya Waves of Sorrow. Ray alikeleka zawadi katika shule ya viziwi iliyopo Buguruni Malapa, akiambatana na wasanii walioshiriki katika filamu hiyo na kufurahi na watoto hao kwa kuwagawia zawadi mbalimbali. Ray amekuwa akifanya hivyo kila anapotoa filamu mpya kutembelea vituo vya kulelea watoto wanaoishi katika mazingira magumu au wale wenye matatizo ya kiafya

Comments system

Disqus Shortname