28 February 2013

Breaking News: Ustadh Ilunga Akamatwa na Polisi Mwanza.

Imamu Hamza na Sheikh maarufu sana Ustadh Ilunga wanashikiliwa
na jeshi la polisi kwa tuhuma za kutoa

CD zenye maudhui ya uchochezi. Wakati huo huo jeshi hilo linamsaka

Askofu Augustine Mpemba wa Kwa

Neema kwa kutoa CD yenye maudhui ya

uchochezi ikiwa imeandikwa kwa juu

"Chinja kula mwenyewe'

Kamatakamata ya mashekhe imekuja baada ya kuifungia Radio Imani ya Morogoro kwani waislam wangejua habari hii upesi sana.

SOURCE: TBC

Comments system

Disqus Shortname