23 January 2013

HILI ndo GARI JIPYA la WEMA SEPETU LENYE THAMANI YA ZAIDI YA MIL.70


Wema sepetu
Picha za Gari mpya  ya  Wema Sepetu aina ya Audi Q7 yenye rangi nyeusi zimeonekana kwenye akaunti ya Wema ya Instagram alipokuwa beach hivi karibuni na kuiandikia caption, ‘my baby at da beach.’
gari wema
Kwenye akaunti ya meneja wake Martin Kadinda pia kuna picha nyingine ya gari hiyo aliyoiandikia maneno, ‘#maisha sio manhattan…..You can creat your own Manhattan in Tz… Hata kama ni Ya muda mfupi… #Kiphating.’
gari wema 2
Gharama ya gari hiyo inaweza kuanzia shilingi milioni 70 na kuendelea.

Comments system

Disqus Shortname